Tanzania Scholars Volunteer
Foundation

𝐄𝐏𝐒 𝐈𝐈 ππ‘πŽπ†π‘π€πŒπŒπ„

 IFAHAMU PROGRAMU YA EPS

Programu ya Elimu zao la Jamii [Education is the Product from Society-EPS], ambayo inahusisha wahitimu wa vyuo na Wanafunzi-walimu kwenda kujitolea katika shule au taasisi za elimu nchini kwa muda wa likizo. Programu Hii inafanyika mara mbili kwa Mwaka, mwezi Februari-Machi na Mwezi septemba-Novemba.

MALENGO YA PROGRAMU YA EPS

Lengo kuu ni kuimarisha tija ya Elimu bora kwa maslahi mapana ya Jamii ya Kitanzania.

MALENGO MAHSUSI

1. Kuongeza uzoefu wa Taaluma mbalimbali kwa wasomi wa leo.

2. Kukuza uzalendo kwa Vijana Katika Utumishi wa Umma.

3. Kupunguza Changamoto za Uhaba wa Walimu na Watumishi Katika Taasisi/shule mbalimbali zenye changamoto ya Uhaba wa Walimu.

Kwa Mawasiliano zaidi wasiliana nasi Kupitia Simu namba: 0763-7393-11

WhatsApp namba: 0763-7393-11

N.B: HAKUNA MALIPO RASMI KUTOKA KWENYE TAASISI/SHULE, SHULE/TAASISI ITAPASWA KUTOA MALAZI NA CHAKULA KWA WALIMU WA PROGRAMU.




Kuisajili shule Yako kupokea Walimu wa programu Hii gusa Link/kiunganishi hikiπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Jaza Taarifa za shule Yako hapa kama unahitaji shule Yako ipokee Walimu wa programu Hii.

Ewe Mwanafunzi-Mwalimu ili Kujitolea Kupitia Programu Hii gusa Link/kiunganishi hiki kujisajiliπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Ewe Mwalimu au Mwanafunzi-mwalimu jisajili Kwenye programu Hii hapa.

..... Karibu sana Katika Familia ya Wasomi wa Tanzania.............


#Elimu Bora Haki, ya Kila Mtanzania.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.