𝐃𝐈𝐑𝐀 𝐍𝐀 𝐃𝐇𝐈𝐌𝐀 𝐃𝐈𝐑𝐀Kuwa shirika na nyenzo muhimu inayowaunganisha wasomi hasa walimu nchini.𝐃𝐇𝐈𝐌𝐀Kuendelea kutoa fursa kwa wasomi za kukuza maarifa, uzoefu na kipato, pia kutoa programu bora za elimu yenye tija kwa jamii.