Kupitia Mkutano huu Wanachama wa shirika waliweza kujifunza misingi ya Taaluma mbalimbali kama Taaluma ya Ualima na kubadili changamoto kuwa Fursa. Mgeni rasmi Katika Mkutano huu alikuwa waziri wa fedha Serikali ya Wanafunzi Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima-TAESO Mhe. Emanuel akiambatana na Waziri Mkuu Katika Serikali hiyo Mhe. Yassin
Aidha Wanachama wa shirika walisisitiziwa Kujitolea kwa moyo wote bila kujali maslahi na mazingira yanayotuzunguka. Mwisho Mgeni rasmi alitoa Wito kwa Vijana wasomi wote kulitumia shirika ili kupata uzoefu na umahiri pamoja na Fursa Kupitia Programu wezeshi zinazotolewa na shirika.Habari picha gusa link hii👇👇👇

