Tanzania Scholars Volunteer
Foundation

𝐏𝐑𝐎𝐆𝐑𝐀𝐌𝐔 𝐌𝐏𝐘𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐒𝐓𝐄𝐑 𝐂𝐋𝐀𝐒𝐒 𝐊𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐍𝐀𝐅𝐔𝐍𝐙𝐈 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐃𝐀𝐓𝐎 𝐂𝐇𝐀 𝐊𝐖𝐀𝐍𝐙𝐀 𝐇𝐀𝐃𝐈 𝐊𝐈𝐃𝐀𝐓𝐎 𝐂𝐇𝐀 𝐒𝐈𝐓𝐀

 𝐏𝐑𝐎𝐆𝐑𝐀𝐌𝐔 𝐌𝐏𝐘𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐒𝐓𝐄𝐑 𝐂𝐋𝐀𝐒𝐒 𝐊𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐍𝐀𝐅𝐔𝐍𝐙𝐈 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐃𝐀𝐓𝐎 𝐂𝐇𝐀 𝐊𝐖𝐀𝐍𝐙𝐀 𝐇𝐀𝐃𝐈 𝐊𝐈𝐃𝐀𝐓𝐎 𝐂𝐇𝐀 𝐒𝐈𝐓𝐀


                 TANZANIA SCHOLARS VOLUNTEER FOUNDATION-TSV FOUNDATION

Katika jitihada za kuboresha sekta ya elimu na mifumo bora ya ujifunzishaji. 

Kama shirika hivi karibuni litazindua programu maalumu ya *MASTER CLASS* , ambayo itamuwezesha mwanafunzi kusoma masomo na mada zote kipitia simu, Computer au Smart Tv akiwa nyumbani, shuleni au mahali popote.


Programu hii itaanza rasmi kwa shule za sekondari. Programu hii itaandaa maudhui ambayo yatafanana na mwelekeo wa mtaala mpya wa elimu uliopitishwa na wizara ya elimu, sayansi na teknolojia pamoja na Taasisi ya elimu Tanzania. 


Lengo la Programu hii:

Kumwezesha mwanafunzi kujifunza kupitia mtandao hasa katika kipindi hiki cha Utandawazi na maendeleo ya Sanyansi na Teknolojia Duniani.

  

https://www.tsvf.ac.tz/?m=1


#ELIMU BORA, HAKI YA KILA MTANZANIA. 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.