TANZANIA SCHOLARS VOLUNTEER FOUNDATION (TSV-FOUNDATION) ni shirika lisilo la kiserikali (NGOs) lililosajiliwa kisheria, kupitia sheria ya usajili wa Mashirika yasiyo ya kiserikali Na. 24 ya mwaka 2002, lenye namba ya usajili 00NGO/R/8900. Shirika lina dira ya maendeleo katika sekta ya elimu Tanzania,shirika hili linalenga kuleta chachu ya madiliko katika taaluma ya ualimu na maendeleo ya kitaaluma katika taasisi za elimu nchini.