YOUNG SCHOLARS LEARNING CAMP


Programu hii imeandaliwa na Shirika kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi wa Kidato cha Kwanza na Kidato cha Tatu kuimarisha uelewa wao wa masomo katika kipindi cha likizo.

Masomo yatakayofundishwa:

🔻Kiswahili

🔺English

🔻Business Studies

🔺Geography

Muda wa Programu:

Kuanzia tarehe 28/03/2026 hadi 06/04/2026

(Siku za mafunzo ni Jumatatu hadi Jumamosi)

Muda wa Mafunzo kwa Siku:

Saa 08:00 asubuhi hadi saa 13:00 mchana

Mahali:

Shule ya Sekondari Excellence, karibu na Jengo la East Africa, Ubungo Maziwa.

Ada ya Mafunzo:

Tsh 5,000 tu kwa mwanafunzi.

Sheria na Masharti ya Mwanafunzi:

🔺Mwanafunzi azingatie taratibu za programu na shule kwa ujumla.

🔺Mwanafunzi avae mavazi ya heshima na yenye kukubalika katika jamii.

🔺Mwanafunzi awe na madaftari mawili ya msomi kwa ajili ya masomo.

🔺Mwanafunzi awe tayari kusoma kwa bidii na kufuata maelekezo ya walimu.

Wazazi na walezi mnakaribishwa kuwaleta wanafunzi wenu ili wanufaike na programu hii ya elimu.

Mawasiliano: +255758551490, 0679755863, +255618002607 & 0741704992

Karibu Sana!


FANYA USAJILI WA MWANAFUNZI KUPITIA LINK HII.

 https://ee.kobotoolbox.org/x/j3RVRbDh

No comments:

Post a Comment