Mwenyekiti aliupongeza Uongozi wa Chuo kwa kuandaa programu za kozi Bora kwa Watumishi ambazo zinalenga kuleta mabadiliko makubwa Katika Utumishi wa Umma.
Aidha Wanachama wa shirika wameweza kujifunza mambo muhimu kutoka kwa wawasilishaji wa mada pamoja na Wakufunzi wote waliohudhuria Tukio hilo
