Tanzania Scholars Volunteer
Foundation

MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZIMA-TEWW

Tarehe 25-27 Agosti, 2025 Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Tanzania-TEWW imeadhimisha Miaka 50 toka kuanzishwa kwake Mwaka 1975. 


Mwenyekiti wa shirika Mhe. JUMA HAMISI akiambatana na Wanachama wengine wa shirika walishiriki Maadhimisho hayo kuanzia Tarehe 23 Agosti, 2025 hadi kilele Cha maadhimisho hayo tarehe 27 Agosti, 2025 yenye kauli mbiu "Elimu bila Ukomo kwa maendeleo Endelevu".


Aidha Uongozi wa Shirika unapenda kuipongeza Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Tanzania-TEWW chini ya Prof. Sanga kwa jitihada kubwa Katika kuboresha sekta ya Elimu Tanzania hasa Kupitia uendeshaji wa MIRADI ya Elimu nje ya mfumo rasmi.





Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.