Ofisi ya Mwenyekiti wa shirika inapenda kuutaarifu Umma na Wanachama wote wa shirika kuwa siku ya Alhamisi Tarehe 28-08-2025 kuanzia saa 3 kamili usiku kutakuwa na Kikao Cha Viongozi wote wa Shirika.
Kikao hicho kitajumuisha maamuzi yaliyoamuliwa na Bodi ya Wakurugenzi Kupitia Kikao Cha pili Cha Wajumbe wa Bodi.
#Elimu Bora, Haki ya kila Mtanzania
