Education Insight Tour 2026


Tarehe: 27 Machi 2026 | 02:00 Asu

Eneo: Makao Makuu ya Taasisi ya Elimu Tanzania – TET Mwenge, Dar es Salaam

Maelezo:

Tanzania Scholars Volunteer Foundation (TSV Foundation) inakusudia kufanya ziara ya kitaalamu katika Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Mwenge. Ziara hii inalenga kupata uzoefu wa kitaalamu juu ya Mtaala ulioboreshwa na Mfumo wa Mafunzo Endelevu ya Walimu Kazini (MEWAKA).

Ziara ya Education Insight Tour 2026 itatoa fursa kwa wanachama na volunteers wetu kuelewa mbinu za kisasa za mafunzo ya walimu kazini, ambazo zitawezesha TSV Foundation kuboresha programu zake za kielimu na shughuli za jamii.

Malengo Makuu:

🔻Kujifunza mbinu bora za mafunzo ya walimu kazini

🔻Kuelewa utekelezaji wa mtaala ulioboreshwa

🔻Kuimarisha ujuzi wa wanachama na volunteers wa TSV Foundation.

Jaza fomu hii kushiriki: Register here✍️

Mawasiliano kwa maelekezo zaidi: +255758551490 |  0679755863

No comments:

Post a Comment